Thursday, January 8, 2015
KILIMO BORA CHA MAHINDI
KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MAHINDI.
KANUNI YA KWANZA
Panda mapema
Tayarisha shamba mapema kwa zana yoyote iliyo ndani ya uwezo wako (jembe, maksai, trekta).
Kwa wilaya ya Mbozi Panda kuanzia tarehe 15 Novemba hadi kati kati ya mwezi Desemba.
Monday, December 22, 2014
Wednesday, October 29, 2014
Ugonjwa
Ugonjwa umezuka huko morogoro unaoenezwa kupitia maziwa yasiochemshwa vizuri na nyama ambazo hazijaiva vizuri
Subscribe to:
Posts (Atom)